Happy Madaraka Day!

Happy Madaraka Day to all fellow Kenyans here at home and around the world. Hongera for all we have achieved over the last 50 years!

Najivunia kuwa mkenya.

flag

Happy Madaraka Day!

Nawatakia wasomaji wangu wote siku njema tunaposherehekea siku kuu ya Madaraka!

Pia tunafaa tukumbuke mambo haya tunaposhughulika na uovu wa vitendo vya kigaidi kutokana na Operation Linda Nchi.